Details

Lala salama, mbwa mwitu mdogo - Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili - Kiingereza)


Lala salama, mbwa mwitu mdogo - Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili - Kiingereza)

Kitabu cha watoto cha lugha mbili, na audiobook
Sefa Picture Books in two languages

von: Ulrich Renz, Faithful Haule, Sefa Agnew, Gemma Martin, Barbara Brinkmann

3,99 €

Verlag: Sefa Verlag
Format: EPUB
Veröffentl.: 01.11.2019
ISBN/EAN: 9783739919034
Sprache: englisch
Anzahl Seiten: 36

Dieses eBook enthält ein Wasserzeichen.

Beschreibungen

Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kiswahili – Kiingereza), na audiobook
Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki...
"Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.
? Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili!
? MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
Bilingual children's picture book (Swahili – English), with audio
Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends…
"Sleep Tight, Little Wolf!" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.
? Listen to the story in both languages, read by native speakers!
? NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
Ulrich Renz alizaliwa huko Stuttgart, Ujerumani, mwaka wa 1960. Baada ya kusoma fasihi za Kifaransa huko Paris alihitimu shule ya matibabu huko Lübeck na alifanya kazi kama mkuu wa kampuni ya kuchapisha kisayansi. Sasa ni mwandishi wa vitabu vya uongo na vitabu vya watoto vya uongo.
Barbara Brinkmann alizaliwa mjini Munich mwaka 1969 na alikulia katika vilima vya Alps Bavaria. Alisoma usanifu huko Munich na kwa sasa ni mshirika wa utafiti katika Idara ya Usanifu katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Munich. Pia hufanya kazi kama mtengenezaji wa picha wa kujitegemea, mtunzi, na mwandishi.

Diese Produkte könnten Sie auch interessieren:

Sprachenlernen leichtgemacht!
Sprachenlernen leichtgemacht!
von: Vera F. Birkenbihl
PDF ebook
8,49 €
Sprachenlernen leichtgemacht!
Sprachenlernen leichtgemacht!
von: Vera F. Birkenbihl
EPUB ebook
8,49 €
Little Vampie
Little Vampie
von: Renate Welsh, Tania Higgins
ZIP ebook
10,95 €